mmoja wa wawadau wa utamaduni akiwa anawaonyesha malagwanani jinsi ya kutumia mishale
wanafunzi wakiwa wanapewa mafunzo ya kutengeneza magari ya mabati
machifu wakibadilishana uzoefu na ukabila wao
malagwanani wa kimasai wakiwa katika picha ya pamoja
chifu
wa kinadi ambayo ipo katika wilaya ya Itilima mkoani Simuyu
Wenceslaus Clement akiwa anabadilishana mawazo na malagwanani wa
kimasai
mkutunzi wa kabila la wabarabaigi
akiwa anawaonyesha malegwanani wa kimasai mishale ya sumu ambapo alisema
kuwa mishale hiyo ina sumu kali ambayo imetengenezwa na miti aina saba
ambayo ikikupiga tu auwezi kukimbia ata hatua ishirini kabla ujaanguka
na dawa yake aipatikani hospitalini zaidi ya wao wenyewe wanaotengeneza
mishale hiyo kukupa dawa
maandalizi ya machalari yakiendelea
chifu
Gilbert Rugal Isambe akiwa anapokea maelezo ya jinsi ya kutengeneza
nguo za kabila ya kibarabaigi kutoka kwa mkufunzi wa kabila hilo ambalo
jina atukuweza kulipata
mnyama aina ya ngamia nae pia aliletwa
kwa ajili ya kuwa kivutio katika tamasha hili na hapa wananchi na
wanafunzi wakiwa wanawaaangalia wanyama hao
mwanadada wa libeneke la kaskazini
akiwa amejumuika na waimbaji wa ngoma ya kichaga wakiwa wanacheza pamoja
hii yote ni kuuenzi utamaduni wetu
wanafunzi wa shule za msingi nao walikuwepo wanaendelea kuburudika na ngoma
vyakula vya jadi vikiwa vinaendelea kupikwa live
picha ya juu na chini ni maandamano
ya machifu kutoka mikoa mbalimbali yakiwa yanaingia katika uwanja wa
sheikh Amri Abeid kwa ajili ya sherehe za tamasha la MTU KWAO lililoanza kufanyika jijini hapa
waandishi wa habari akiwemo mdada mdada
wa woindeshizza blog wakiwa wanaburudika na chakula cha jadi ya kimasai
kiitwacho loshoro
Post a Comment